Group Loan (Mkopo wa Kikundi)

Vigezo na Masharti ya Wanakikundi

  • Wanakikundi inabidi wafahamiane vizuri (majumbani na makazini/eneo la biashara)
  • Wanakikundi wasiwe wanaishi mbalimbali sana (biashara/nyumbani)
  • Idadi ya wanakikundi ni 5 – 7
  • Marejesho ni kila wiki
  • Mwanakikundi awe na biashara inayompatia kipato kwa siku, wiki au mwezi.
  • Wanakikundi hapaswi wawe wa familia moja. Mfano: Mume na mke kwenye kundi moja.
  • Kiasi cha Mkopo ni TZS 100,000 – 1,000,000
  • Dhamana i) Wanakikundi wanadhaminiana ii) Vitu vya ndani iii) Pamoja na dhamana za kadi ya gari, hati ya mauziano au hati miliki.
  • Umri ni miaka 18-70
  • Mwanakikundi awe na historia nzuri ya mikopo