WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

 

Enterpise Finance Limited,Inatoa pongezi kwa wale wote walioshiriki  katika kufanikisha wiki ya huduma kwa wateja iliyoanza tarehe 10/10/hadi 15/10/2016. Shukrani ziwafikie  Barclays Bank kwa kushiriki mchezo wa mpira wa miguu pamoja na  wadau wengine wote mliofika kushuhudia michezo mbalimbali.

Zaidi ya yote msimu huu tumeboresha huduma zetu ikiwa ni pamoja na kuwafikia wateja wengi zaidi kwa wakati.

KARIBU ENTERPRISE FINANCE LIMITED.