Kila La Heri The Sparrow FC
- August 23, 2018
- Posted by: admin
- Category: CSR
			No Comments 
		
	 
		Captain wa Enterprise Finance Limited (BW. Norman Jumbe wa tatu kulia) akiikabidhi timu ya THE SPARROW FC vifaa vya michezo vilivyodhaminiwa na kampuni ya EFL kama njia ya kuunga mkono michezo kwenye jamii.

