- March 8, 2023
- Posted by: admin
- Category: News
No Comments
Moja kati ya nguzo muhimu katika kuboresha huduma ni utoaji wa mafunzo ambayo yanalenga kuoneza ufanisi. Kwa樂威壯
kutambua hilo EFL hutoa mafunzo haya kwa wafanyakazi wake kila mara ili kuhakikisha wanaenda sambamba na mahitaji ya wateja. Pichani ni Wafanyakazi wa EFL – Arusha Branch wakipata mafunzo ili kuboresha mchakato wa ukaguzi wa dhamana za mikopo inayotolewa kwa wafanyakazi na wafanyabiashara.