Enterprise Finance Limited(EFL), inakukaribisha kushiriki mbio za kirafiki(km15, km 10 & km5) zitakazofanyika tarehe 15 Octoba, 2022 katika viwanja vya michezo Chuo kikuu Dar es Salaam (UDSM) kuanzia saa 12:00 asubuhi na kuendelea.Pia kutakuwepo na michezo mingine kama vile mpira wa miguu, michezo ya watoto, mazoezi ya viungo, n.k
Mawasiliano
0758112332 / 0677111333
Ili kushiriki, Tafadhali jaza fomu iliyopo hapo chini.
Hakuna kiingilio
Karibu EFL tujumuike kwa mazoezi.