- March 11, 2022
- Posted by: admin
- Category: News
No Comments
Kila mwaka Machi 08,Enterprise Finance Limited (EFL) uungana na jamii kuadhimisha sikukuu ya wanawake Duniani ikiwa inaangazia kukomesha ubaguzi wa kijinsia hasa katika nyanja za ajira na kiuchumi, hata hivyo katika maadhimisho hayo yaliyofanyika leo katika ofisi za makao makuu EFL HOUSE, Mkurugenzi Mtendaji ( Ndugu. Jackline Lujuo) ametumia nafasi hiyo kuwasisitiza wafanyakazi wote kuendelea kutoa huduma za mikopo kwa usawa na kuifanya EFL kuwa pamoja katika kuvunja upendeleo na kuhimiza usawa katika kujenga taifa lenye maendeleo.
# Vunja upendeleo
.