EFL YASHIRIKI KILIMANJARO MARATHON 2023

Moja kati ya silaha kubwa ya kuimarika  kiuchumi ni Afya Njema. Afya Njema hutoa nafasi ya kuendelea kufanya  shughuli zetu za kila siku katika kuimarisha na kuboresha maisha yetu. Kwa kuzingatia hilo ENTERPRISE FINANCE LIMITED (EFL) imeshiriki kikamilifu katika mbio ndefu za KILIMANJARO MARATHON zilizofanyika Siku ya Tarehe 26/02/2023.

Kumbu犀利士
ka: “Afya Njema ni Nguzo ya kuimarika Kiuchumi”