EFL KUTOA MKOPO WA DHARURA KWA WATUMISHI WA UMMA (Salaried Loan)

Mkopo huu ni maalumu kwa wafanyakazi wa Serikalini kwa kutumia dhamana ya mwajiri ili kuwawezesha kutatua dharura mbalimbali za kifedha kwa muda mfupi kama vile:-
Kulipa ada
Kulipa kodi ya nyumba
kulipia matibabu
Kununua kiwanja
Kununua nyumba
Kuboresha biashara n.k
Pia mkopo unatolewa kwa haraka ndani ya muda usiozidi saa 48 baada ya kukamilisha viambatanishi na malipo yanawezakufanyika ndani ya kipindi cha miezi sita, huduma ya mkopo wa dharura imeonekana kuwa mkombozi kwa watumishi wa Umma na kuwa ya kipekee ikilinganishwa na huduma mbalimbali zitolewazo na taasisi nyingine za kifedha.
SHARE[addtoany]