EFL TUMEHAMIA JENGO JIPYA (EFL HOUSE)

EFL TUMEHAMIA JENGO JIPYA (EFL HOUSE)

Ikiwa ni mwendelezo wa kuboresha huduma zetu, EFL tumehamia jengo la EFL HOUSE lililopo Sinza Africa sana barabara ya Shekilango, hivyo huduma za mkopo wa haraka kwa masharti nafuu zinaendelea kutolewa kama kawaida katika ofisi zetu mpya.

kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupigia kupitia 0758 112 332 au 0677 111 333

Karibu ufurahie huduma zetu.

SHARE[addtoany]