- September 28, 2020
- Posted by: admin
- Categories: Community Involvement, CSR, Customer Service, Events
No Comments
Katika maandalizi ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja itakayozinduliwa rasmi kuanzia tarehe 5/10/2020, sambamba na kusherekea miaka kumi (10) ya mafanikio katika utoaji wa huduma bora yenye uhakika ya mkopo wa haraka na masharti nafuu, Enterprise Finance Limited (EFL) inajipanga vyema ili kuhakikisha wiki ya huduma kwa wateja inakuwa ya kipekee, ikihusisha matukio kadha wa kadha kama vile, kutembelea wateja/biashara, michezo mbalimbali, mafunzo na mbinu za kuhudumia wateja vizuri n.k
Huu utakuwa mwendelezo wa utamaduni wa kampuni katika kuboresha mshikamano,umoja na ufanisi katika utoaji huduma bora.
Karibu tukuhudumie