
Enterprise Finance Limited (EFL) inakukaribisha kushiriki mbio za kirafiki (km 15, km 10 & km 5) zitakazofanyika:
π Tarehe: 27 Septemba 2025
π Mahali: Viwanja vya michezo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
π Muda: Kuanzia saa 12:00 asubuhi na kuendelea
Mbali na mbio, pia kutakuwa na michezo mingine kama vile:
β½ Mpira wa Miguu
π Mpira wa Kikapu
π Netball
π€ΈββοΈ Mazoezi ya Viungo (Aerobics)
π¦π§ Michezo ya Watoto
π Mawasiliano: 0677 111 333