Events
-
EFL KUSHIRIKI KILI MARATHON 2022
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa wameambatana na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Prof. Goodluck Urassa, wameshiriki na kuiwakilisha vyema kampuni ya Enterprise Finance Limited (EFL) katika mbio za marathoni (KILI MARATHON) zilizofanyika leo 27/02/2022 Mjini Moshi. Ushiriki wa mbio hizo umekuwa ni mwendelezo wa utamaduni wa EFL katika kuandaa na kushiriki michezo mbalimbali ili kuimarisha afya

Siku ya Wanawake Duniani
Katika kutambua mchango mkubwa unaotolewa na wanawake hasa kwenye nyanja nzima za kiuchumi, Enterprise Finance Limited (EFL) imeungana na Dunia nzima kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani. Hafla za maadhimisho zimefanyika leo tarehe 8/3/2021 ofisini makao makuu Sinza, Dar es Salaam.