- January 10, 2024
- Posted by: admin
- Categories:
No Comments
Vigezo na Masharti ya Wanakikundi
- Wanakikundi inabidi wafahamiane vizuri (majumbani na makazini/eneo la biashara)
- Wanakikundi wasiwe wanaishi mbalimbali sana (biashara/nyumbani)
- Idadi ya wanakikundi ni 5 – 7
- Marejesho ni kila wiki
- Mwanakikundi awe na biashara inayompatia kipato kwa siku, wiki au mwezi.
- Wanakikundi hapaswi wawe wa familia moja. Mfano: Mume na mke kwenye kundi moja.
- Kiasi cha Mkopo ni TZS 100,000 – 1,000,000
- Dhamana i) Wanakikundi wanadhaminiana ii) Vitu vya ndani iii) Pamoja na dhamana za kadi ya gari, hati ya mauziano au hati miliki.
- Umri ni miaka 18-70
- Mwanakikundi awe na historia nzuri ya mikopo