- March 12, 2021
- Posted by: admin
- Category: Uncategorized
No Comments
Katika kutambua mchango mkubwa unaotolewa na wanawake hasa kwenye nyanja nzima za kiuchumi, Enterprise Finance Limited (EFL) imeungana na Dunia nzima kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani. Hafla za maadhimisho zimefanyika leo tarehe 8/3/2021 ofisini makao makuu Sinza, Dar es Salaam.