Usajili wa semina

Enterprise Finance Limited (EFL), inakukaribisha kwenye semina kujifunza jinsi ya kusimamia miradi,kuendesha biashara,usimamizi wa fedha pamoja na kupata fursa za mikopo ya kuendeleza/kufanya miradi.
Semina itafanyika tarehe 03/09/2022 kuanzia Saa10:00Asubuhi – Saa4:00 Jioni.

Ili kushiriki, Tafadhali jaza taarifa zako kwenye fomu hapa chini.

Au piga simu 0758 112 332 / 0677 111 333

Hakuna kiingilio

Karibu sana EFL.