EFL ILISHIRIKI KATIKA UTOAJI WA MAFUNZO YA UONGOZI, USIMAMIZI WA BIASHARA NA FURSA ZA MITAJI KWA WAJASIRIAMALI, WANAWAKE NA VIJANA

Enterprise Finance Limited (EFL), ikishirikiana na wadau wengine wa maendeleo itashiriki katika utoaji wa mafunzo ya Uongozi, Usimamizi wa Biashara na Fursa za mitaji kwa Wajasiriamali na vijana wa Umoja wa Wanawake Tuinuane Kiuchumi Tanzania (UWATUKITA).

Dhamira ya mafunzo ha犀利士 ya ni kuinua na kuboresha hali ya kibiashara/kiuchumi ya wanawake na vijana wajasiriamali wa Tanzanaia kwa kufanyabiashara rasmi katika misingi iliyo imara, Mafunzo haya yatafanyika Jumamosi 18 Juni, 2022 katika hotel ya Silversands- Kunduchi