Mafunzo ya Ujasiriamali na Usimamizi wa Fedha

Mafunzo ya ujasiriamali na usimamizi wa fedha yaliyofanyika tarehe 31/08/2019 katika hoteli ya Golden Rose – Arusha, Tanzania.