- January 25, 2024
- Posted by: admin
- Categories: News, Training
Timu ya EFLย #Arushabranchย imeanza kampeni ya kuwafikia wakazi wa Mkoa wa Arusha na kuwaelimisha juu ya huduma maalum kwa ajili yao ya ๐ ๐ธ๐ผ๐ฝ๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ธ๐๐ป๐ฑ๐ถ.
Jifunze zaidi ๐
๐ฉ๐ถ๐ด๐ฒ๐๐ผ ๐ป๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ช๐ฎ๐ป๐ฎ๐ธ๐ถ๐ธ๐๐ป๐ฑ๐ถ
โข Wanakikundi inabidi wafahamiane vizuri
โข Idadi ya wanakikundi ni 5 โ 7
โข Marejesho ni kuanzia kipindi cha wiki moja
โข Mwanakikundi awe na biashara inayompatia kipato kwa siku, wiki au mwezi.
โข Wanakikundi hapaswi wawe wa familia moja. Mfano: Mume na mke kwenye kundi moja.
โข Kiasi cha Mkopo ni TZS 100,000 na kuendelea
โข Wanakikundi wanaweza kudhaminiana au kutumia vitu vya ndani kama dhamana ya mkopo.
โข Umri wa Mwanakikundi ni miaka 18 – 70
โข Mwanakikundi awe na historia nzuri ya mikopo.
๐๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฒ๐น๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ, ๐ง๐๐ฝ๐ถ๐ด๐ถ๐ฒ ๐ฌ๐ฒ๐ณ๐ณ ๐ฎ๐ฎ๐ฒ ๐ต๐ฒ๐ฌ ๐ฎ๐ ๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ณ ๐ญ๐ญ๐ฒ ๐ฌ๐ฌ๐ด