- November 12, 2020
- Posted by: efl
- Categories: Customer Service, Training
No Comments
Ikiwa ni mwendelezo wa kuboresha huduma bora kwa wateja, wafanyanakazi wa kampuni ya Enterprise Finance Limited ( EFL) tawi la Arusha wameshiriki mafunzo kwa vitendo yaliyolenga kuboresha na kudumisha ushirikiano katika utendaji kazi ili kuendeleza utamaduni wa kampuni wakutoa huduma bora kwa kuzingatia mahitaji ya mteja.