- December 4, 2023
- Posted by: admin
- Category: Events
No Comments

Katika kuunga mkono kampeni ya iliyoandaliwa na Chuo Kikuu ya Dar es Salaam ambayo inalenga kuboresha maisha ya mwanachuo, EFL kupitia EFL sports club imeunga mkono juhudi hizo kwa kushiriki kikamilifu.




